dos santos
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 256
- 128
Hii timu ishaingia kwenye siasa, mchezo wa soka ni wa wazi
hautaki maneno maneno tu. Ajabu mchezaji anasimamishwa kwa dhana
na si ushahidi.Hiyo ni siasa na si mpira wa miguu.
tena anasimamishwa bila ya ushauri wa kifundi kutoka kwa kocha
Eti amekuwa anarudia makosa hayo kila akicheza na timu zenye ushawishi. Ujinga mtupu.
Hii ni staili ya viongozi wa soka tanzania kila timu ikifanya vibaya zigo wanaangushiwa wachezaji.
Viongozi nao wanawajibika kwa timu kufungwa, wasijitoe. Mbeya City haiwezi kulalamika
kufungwa na Yanga, ina uwezo mdogo. Wajiangalie washafungwa mechi ngapi mpaka sasa
ktk ligi. Wamefungwa kihalali na magoli ya wazi kama alivyosema kocha wao Juma mwambusi.