Kipa Mbeya City Asimamishwa

Kipa Mbeya City Asimamishwa

Hii timu ishaingia kwenye siasa, mchezo wa soka ni wa wazi
hautaki maneno maneno tu. Ajabu mchezaji anasimamishwa kwa dhana
na si ushahidi.Hiyo ni siasa na si mpira wa miguu.
tena anasimamishwa bila ya ushauri wa kifundi kutoka kwa kocha
Eti amekuwa anarudia makosa hayo kila akicheza na timu zenye ushawishi. Ujinga mtupu.
Hii ni staili ya viongozi wa soka tanzania kila timu ikifanya vibaya zigo wanaangushiwa wachezaji.
Viongozi nao wanawajibika kwa timu kufungwa, wasijitoe. Mbeya City haiwezi kulalamika
kufungwa na Yanga, ina uwezo mdogo. Wajiangalie washafungwa mechi ngapi mpaka sasa
ktk ligi. Wamefungwa kihalali na magoli ya wazi kama alivyosema kocha wao Juma mwambusi.
 
Kipa hana kosa, mabeki walikuwa wapi wasimzuie ngasa? washambuliaji wamepoteza nafasi nyingi hao wamechukuliwa hatua gani? Kimsingi timu nzima ya mbeya city ni mbovu .

acha ujinga ww unafikiri mpra siasa. mnaongea sana kuhusu mcc. nawaambia mtanyamaza
 
''Baada ya kupitia rejea kadhaa ilibainika kuwa makosa mengi ya aina hii yamekuwa yakifanyika katika baadhi ya mechi hasa zinazohusisha timu zenye ushawishi

Mazingira mazima ya makosa yote hayo yamezingirwa na mashaka makubwa ambayo ni vigumu kujiweka mbali nayo akiwa kama mhusika mkuu''.

Yaani hapa wameshindwa kusema tu wanamtuhumu kwa kuhujumu timu. Maana wanasema wamepitia rejea kadhaa na kubaini hayo waliyobaini.
 
Kipa hana kosa, mabeki walikuwa wapi wasimzuie ngasa? washambuliaji wamepoteza nafasi nyingi hao wamechukuliwa hatua gani? Kimsingi timu nzima ya mbeya city ni mbovu .
lile kosa sio la beki ni kosa la kipa....maana karudishiwa mpira wakati sahihi na pia aliweza hadi kuucontrol kwa sekunde kadhaa akiwa peke yake , lakin akafany delaying ya ajabu hadi ngasa anamfikia akaamua ampige chenga na hvy kusababisha madhara
 
Kitendo Cha Mbeya City kumfungia kipa wake ni kuidhalilisha sana TIMU Yangu Ya Yanga Afrika,,,

# CAF Wanaweza kutufungia kimataifa kama itagundulika mpria wa Tanzania unaruhusu mambo kama hayo, ndugu Jamal Malinzi kuna haja ya kufatilia hizi tuhuma za Mbeya City kwamba kipa wao alipewa mlungula
 
Last edited by a moderator:
vp kuhusu goli la kwanza na la 3?kipa alitakiwe akamkabe msima hasiruke kichwa?
Msuva ni mfupi kuliko yule last def aliyekuwa naye,swali ni kwanini msuva aliruka kupga kichwa na beki bila hata kumbugudhi kidogo?
Swali la pili kwa kuwa wanamtuhumu kipa wao mbona goli la kwanza na la tatu yanafanana?h tambwe kapiga free header akiwa amesimama kwan hakuruka hata kidogo na mabeki wanawekwa kundi gani?..
HATA KAMA NI KWELI AMEPEWA RUSHWA BASI HAYUPO PEKE YAKE.
 
Kitendo Cha Mbeya City kumfungia kipa wake ni kuidhalilisha sana TIMU Yangu Ya Yanga Afrika,,,

# CAF Wanaweza kutufungia kimataifa kama itagundulika mpria wa Tanzania unaruhusu mambo kama hayo, ndugu Jamal Malinzi kuna haja ya kufatilia hizi tuhuma za Mbeya City kwamba kipa wao alipewa mlungula
niongezee tu kwamba ufuatiliaji huo mwisho wake utathibitisha ama kukanusha tuhuma hizo. Maana yake ni kwamba mchezaji atakuwa ameikosea timu ( na mchezo mzima wa kabumbu) kwa kuihujumu, au timu itakuwa imemkosea mchezaji (na mchezo mzima wa kabumbu) kwa kumzulia na kumchafulia jina. Adhabu isije ikachagua upande wa kuhukumu, yeyote kati ya wawili hawa achukuliwe hatua kali atapobinika. Tuhuma za aina hii zimeshakuwa nyingi kutoka kwa viongozi wa timu. Lakini zinaposhindwa kuthibitishwa huku wachezaji watuhumiwa wakiwa wameshadhalilishwa, huishia kurudishwa kundini kinyemela. Nao kwa unyonge na kutojitambua kwao huona ndiyo yamekwisha. Unakumbuka ya akina Aggrey waliotuhumiwa kuhongwa? Yameishaje?
 
Hii timu ishaingia kwenye siasa, mchezo wa soka ni wa wazi
hautaki maneno maneno tu. Ajabu mchezaji anasimamishwa kwa dhana
na si ushahidi.Hiyo ni siasa na si mpira wa miguu.
tena anasimamishwa bila ya ushauri wa kifundi kutoka kwa kocha
Eti amekuwa anarudia makosa hayo kila akicheza na timu zenye ushawishi. Ujinga mtupu.
Hii ni staili ya viongozi wa soka tanzania kila timu ikifanya vibaya zigo wanaangushiwa wachezaji.
Viongozi nao wanawajibika kwa timu kufungwa, wasijitoe. Mbeya City haiwezi kulalamika
kufungwa na Yanga, ina uwezo mdogo. Wajiangalie washafungwa mechi ngapi mpaka sasa
ktk ligi. Wamefungwa kihalali na magoli ya wazi kama alivyosema kocha wao Juma mwambusi.

Wanadai eti kwa vile waliifunga Simba Dar walitegemea waifunge pia Yanga kwao, walikuwa wamesahau kuwa katika ligi ya Bongo hakunaga timu hatari kama Yanga hasa raundi ya mwisho ya ligi.

Tatizo la Mbeya City wanajiweka daraja la juu wakati wamecheza LK kwa msimu wa pili tu, hawaifikii hata Mwadui FC iliyopanda juzi maana ilishacheza zaidi ya misimu miwili.

Shame on you watani zangu wa Mbeya, igeni mfano TZP waliofungwa palepale wakaenda zao Chamazi wakajipatia pointi yao moja ugenini.
 
Bado hiyo ni salamu za jangwani

Hiyo ni rasharasha tu, endapo Msuva, Ngassa na Tambwe wataendelea kupiga tizi la nguvu, masika itawaangukia mmoja, wawili na hata wote kati ya hawa wafuatao:
1. Manyika, Peter (Jr): Ataambiwa hana mapenzi na timu yake kwani baba yake ni Yanga,
2. Salum Abubakar: -ditto-
3. Ivo Mapunda: Ataambiwa yeye ni Yanga damu.

Ee Mungu, ibariki Yanga iendelee kufukuzisha watu ikiwa ni kuwaenzi Marcio Maximo, Emerson na Hamis Kiiza tuliowatimua.
 
Kwa kasi ya yanga ya sasa basi makipa wengi kibarua kitaota mbawa
 
Kama alihongwa haikuzidi kamilioni,,,, mpaka sasa katakuwa kamebakia laki nne,,
 
Kipa hafai kabisa mwaka jana vivyo hivyo tatizo tunaaamin uchawi sana
 
Back
Top Bottom