CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Kama mnajua hilo mbona, Mlimlaumu AHMADA??? Nyie ni MBUMBUMBU na mnaona makipa wakifungwa na YANGA ni wazembe ila wakifungwa na Simba mnaona Simba ndio imefanya vizuri.Hakuna kipa asiyefungwa Duniani.
Mkitaka kipa yeyote asifungwe njia rahisi ni akae Benchi kama ilivyo kwa Beno Kakolanya (Hafungwi kwa kuwa apewi nafasi ya kucheza)