Kipa Siku zote tu yuko jirani na Manara na Matajiri wa Salamander Posta mnategemea asituumize Kimakusudi?

Hakuna kipa asiyefungwa Duniani.

Mkitaka kipa yeyote asifungwe njia rahisi ni akae Benchi kama ilivyo kwa Beno Kakolanya (Hafungwi kwa kuwa apewi nafasi ya kucheza)
Kama mnajua hilo mbona, Mlimlaumu AHMADA??? Nyie ni MBUMBUMBU na mnaona makipa wakifungwa na YANGA ni wazembe ila wakifungwa na Simba mnaona Simba ndio imefanya vizuri.
 
Ila Outtara hakuna beki hapo! Tena kocha asijichanganye kumpanga kwenye mechi ya Yanga au Azam tutalia! Bora Kenedy Juma
 
Ila Outtara hakuna beki hapo! Tena kocha asijichanganye kumpanga kwenye mechi ya Yanga au Azam tutalia! Bora Kenedy Juma
Sio Azam na yanga tu kiufupi ni hafai kupangwa kwenye mechi yeyote ya mashindano.
 
Ila Outtara hakuna beki hapo! Tena kocha asijichanganye kumpanga kwenye mechi ya Yanga au Azam tutalia! Bora Kenedy Juma
Ouattara ni beki mzuri sana, aendelee kupewa nafasi. Jana mapungufu ya Simba hayakuwa sana kwenye defense ila safu ya mbele. Watu mnatetea wachezaji kwa mapenzi binafsi bila kuangalia mpira ulivyochezwa.
 
Mzee hakuna beki hapo kama unaujua mpira na kuwafahamu vyema mabeki wa kati Outtara ni moja ya sajili mbovu kuwahi kufanywa na Simba ni heri ata usajili wa Dejan kuliko huu .
 
Mzee hakuna beki hapo kama unaujua mpira na kuwafahamu vyema mabeki wa kati Outtara ni moja ya sajili mbovu kuwahi kufanywa na Simba ni heri ata usajili wa Dejan kuliko huu .
Napingana na wewe kwenye hilo. Jana amecheza vizuri zaidi ya Kapombe. Nadhani jana top performancers wa Simba ni Outtara, Kanoute, Onyango, Sacko na Saido halafu nashangaa watu wanasema Outtara na Kanoute hawajafanya kitu.

Angalieni mpira acheni kusikiliza maneno ya watu.
 
Ki ukweli Quattara ni mzito sana tu. Ndio maana siku ile alikuwa anamsindikiza tu Mayele.

Ilitakiwa aufanyie kazi upungufu wake.
Kwangu Kennedy ni mzuri kupita Quattara.
 
Reactions: ITR
Ni mzito sana akikutana na timu yenye safu ya ushambuliaji yenye kasi ataigharimu timu.
"Akikutana" zimekuwa nyingi kila mnapomuongelea Outtara. Tuongelee performance yake katika game husika. Hayo mambo ya kufikirika hayana maana. Nyie mnachoita uzito ni kuwa ni mtulivu, hana papara. Kuna macenter wengi tu wazuri wa namna yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…