Kipa wa Liverpool FC aliyetoa boko Fainali ya UEFA atishiwa maisha

Angekuwa Colombia. Wameshamgawana vipande vipande.ni mpuuzi.
Kanikera sanaaa.
 
Hahaaa. Nimekumbuka ile mechi Simba na Yanga pale Hassan Kessy alipokosea kutoa pasi mpira ukaenda kwa Ngoma lol.

Mbona aliipata pata.
Hahaha aliishi kwa shida sana, walimuweka benchi sana baada ya mechi ile
 
Hii slogan imetutoa mbali sana swaiba, "tukishinda tumeshinda pamoja tukifungwa tumefungwa pamoja"
Hahahaaa. Nimecheka sana lol. Sie Wanajangwani tuliwaiga na tukaitumia siku chache zilizopita japo tuliongeza vimaneno kidogo.

Ila pole Swahiba hivyo nawe ni team Liverpool?
 
Wacha atishwe tu,lile goli la tatu la Bale hata mimi ningedaka walahi.
 
Hahahaaa. Nimecheka sana lol. Sie Wanajangwani tuliwaiga na tukaitumia siku chache zilizopita japo tuliongeza vimaneno kidogo.

Ila pole Swahiba hivyo nawe ni team Liverpool?
Mimi ni team jogoo kindakindaki, kwa maana nyingine mimi ni mshabiki wa klabu bora namba 2 duniani.
 
Huyu lazima a walk alone. Yaani yale magoli mawali ni uzembe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…