Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Yaani wasinge mkawiza, mtaani maisha yake yangekuwa magumu sana, kwanza wangemtupia chupa za mikojo zakutoshaHahahaaa. Na wangeshamzushia kapewa mlungula.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wasinge mkawiza, mtaani maisha yake yangekuwa magumu sana, kwanza wangemtupia chupa za mikojo zakutoshaHahahaaa. Na wangeshamzushia kapewa mlungula.
Hahahaaa. Acha tu Swahiba.Yaani wasinge mkawiza, mtaani maisha yake yangekuwa magumu sana, kwanza wangemtupia chupa za mikojo zakutosha
Mashabiki wa bongo huwa hatukwepeshi hahahaHahahaaa. Acha tu Swahiba.
Angekuwa ndo kipa wa Yanga au wa Simba alafu ndo derby mpaka sasa angekuwa tayari hana nafasi katika timu
Hahaaa. Nimekumbuka ile mechi Simba na Yanga pale Hassan Kessy alipokosea kutoa pasi mpira ukaenda kwa Ngoma lol.Mashabiki wa bongo huwa hatukwepeshi hahaha
Hahaha aliishi kwa shida sana, walimuweka benchi sana baada ya mechi ileHahaaa. Nimekumbuka ile mechi Simba na Yanga pale Hassan Kessy alipokosea kutoa pasi mpira ukaenda kwa Ngoma lol.
Mbona aliipata pata.
Hii slogan imetutoa mbali sana swaiba, "tukishinda tumeshinda pamoja tukifungwa tumefungwa pamoja"Hahaaaa. Swahiba nimecheka sana lol.
Hii Slogan yao ni balaa.
Hahaha yule alikua sio shabiki ni mtaalamu wa kubet.Huyu ndo angejiua sio yule wa Mbeya!!
Hahahaaa. Nimecheka sana lol. Sie Wanajangwani tuliwaiga na tukaitumia siku chache zilizopita japo tuliongeza vimaneno kidogo.Hii slogan imetutoa mbali sana swaiba, "tukishinda tumeshinda pamoja tukifungwa tumefungwa pamoja"
Yaani. Ila ndio Soka hili Swahiba saa nyingine baadhi ya vitu japo ni vya kushangaza ila vinatokea.Hahaha aliishi kwa shida sana, walimuweka benchi sana baada ya mechi ile
Mimi ni team jogoo kindakindaki, kwa maana nyingine mimi ni mshabiki wa klabu bora namba 2 duniani.Hahahaaa. Nimecheka sana lol. Sie Wanajangwani tuliwaiga na tukaitumia siku chache zilizopita japo tuliongeza vimaneno kidogo.
Ila pole Swahiba hivyo nawe ni team Liverpool?
Hahaaaa. Pole sana Swahiba natumai unaganga ya EPL sasa.Mimi ni team jogoo kindakindaki, kwa maana nyingine mimi ni mshabiki wa klabu bora namba 2 duniani.