Kipa wa Yanga Msheri afunga ndoa,wachezaji wenzake wamsusia

Mkuu mbona unamtukana uncle wangu wakati sio yeye alieanzisha uzi? Yaani umepanic balaa utadhani ulihaidiwa ndoa na mshery kisha akaoa mwingine
 
Matusi yote haya yangu?!!
 
Jamaa kanichakaza Kwa kweli 😄😄
Mkuu mbona unamtukana uncle wangu wakati sio yeye alieanzisha uzi? Yaani umepanic balaa utadhani ulihaidiwa ndoa na mshery kisha akaoa mwingine
 
Mlichonfanyia mwenzenu sio powa,

Nusu ya wachezaji hawajaonekana harusini
Nilimuina Sheikh wa timu injinia na wachezaji kama kumi hivi

Mbona wewo
Angetafuta supastaa wa kike hapo Daslamu kama mobeto basi wangehudhuria wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…