Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Mkuu mbona unamtukana uncle wangu wakati sio yeye alieanzisha uzi? Yaani umepanic balaa utadhani ulihaidiwa ndoa na mshery kisha akaoa mwingine
Unakurupuka tu kutoa uzi haujafanya utafiti wa jutosha unapika tu majungu...mtoto wa kiuke ukipakatwa utamlaumu nani
Unakurupuka tu kutoa uzi haujafanya utafiti wa kutosha unapika tu majungu kuchafua watu...hata kama unachuki binafsi na watu lakni sio kwa njia hii....mtoto wa kiume ukipakatwa utamlaumu nani?!...mtoto wa kiume mzima unapenda kiki za kiboya kama juma lokole ukiambiwa shoga utasema umetukanwa?!