KERO Kipande cha barabara cha Boko Bulumawe kimetelekezwa wananchi tunapata shida kupitia

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wananchi wa Mtaa wa Bulumawe kata ya Bunju tunakutana na adha kubwa ya kupita katika barabara baada ya barabara hiyo kuanza kutengenezwa, lakini wameichimba tu na hakuna kinachoendelea hadi sasa zimepita week 3.

Barabara hiyo imekuwa ni changamoto kupitika kwa usafiri wa aina yeyote na hata kwa watembea kwa miguu na hizi mvua zinazoendelea ndiyo shinda zaidi.

Mamlaka husika tunaomba waliangalie hili, mkandarasi alieyepewa tenda hiyo afanye haraka maana anaonesha uzembe wa wazi kabisa.
Your browser is not able to display this video.
 
alafu kibaya zaidi na maji yamekatwa sasa 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…