mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Nimetembea sehemu mbalimbali Tanzania, hasa katika Nchii hii ambayo ni huru, Maeneo Mengi nchi hii mtandao bado ni shida.
Ila Cha ajabu Kuna route moja imenishangangaza katika njia zetu kuu zote za Barabara , nimeshangaa napata network Barabara nzima Kwa umbali mkubwa sana jambo ambalo si kuonekana mara Kwa mara.
Kipande Cha Barabara kutokea Arusha-Moshi- Tanga unapata network vizuri njia nzima yenye takribani kilometer 460. Sijaona sehemu ingine nchi hii kipande kirefu namna hiyo Cha Barabara kiwe na upatikanaji wa Mtandao wa Simu.
Tunataka Nape ahakikishe vipande vyote vya Barabara kuu tunapata internet mwanzo Hadi mwisho wa safari.
Hongera Mama Samia Kwa kazi nzuri Kanda ya Kaskazini katika mambo ya Mtandao katika Barabara kuu za kiuchumi