Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwa mujibu wa gazeti la The East African ni kuwa mfumo mzima wa umeme utakaotumika kuendesha treni kwenye awamu hii ya kwanza toka Dar mpaka Morogoro umekamilika. Na ulikuwa ufanyiwe majaribio mwezi mwishoni mwa mwezi April.
Mpaka sasa vituo vinne vikubwa vya kupoza umeme vimeshaunganishwa na grid ya taifa, kila kimoja kikiwa na transfoma 19. Na jumla ya Mw 71 zitatumika kuendesha treni Dar to Morogoro. Na mfumo mzima wa umeme upo tayari kwa shughuli hii.
Lakini kikwazo ni Km 14 toka Dar mpaka Pugu zitachukua muda kukamilika na huenda zikakamilika mwisho wa mwaka huu.
Tangu mwaka 2019 tunapewa ahadi juu ya kukamilika kipande hiki cha Dar mpaka Moro lakini zekuwa ni ahadi tu. Ngoja tuone safari hii. Maana zimebaki kilometa 14.