Kipande cha Dar - Pugu chasababisha kuchelewa SGR Dar - Morogoro kuanza kutumika

Kipande cha Dar - Pugu chasababisha kuchelewa SGR Dar - Morogoro kuanza kutumika

Inawezekana kuna ukweli. Kwa hapa Dar, naona kama kuna sehemu bado hazijakamilika. Kukamilisha kwa mwezi mmoja itakuwa ni miujiza. Huko kwingine sijui nini kinaendelea.
Kwa kazi iliyofanyika, lazima tuwapongeze serikali. Sio kitu rahisi. Wamejitahidi sana
 
Acha kuamini
Nyie ndiyo mnasababisha watu wanaichukia serikali na miradi yenyewe. Majibu yenu yanakera. Kama hamna details za mradi kwa nn mnaleta habari zisizojitosheleza?

Hapo umeombwa picha tu umetahamaki
 
Yaani kamera yangu ipige picha toka Dar mpaka pugu? We fala kweli
 
Mbona nguzo zote zilizoko kandokando ya reli hazina waya hata mmoja wa kudanganyishia!!!

Itatumia Wi-Fi maeneo hayo 😂😁😁, Niliposikia waziri mkuu anasema kipande cha Dar-Moro kinaanza kazi mwezi aprili mwaka huu, nilijua ni uongo kama uongo mwingine.
 
Itatumia Wi-Fi maeneo hayo 😂😁😁, Niliposikia waziri mkuu anasema kipande cha Dar-Moro kinaanza kazi mwezi aprili mwaka huu, nilijua ni uongo kama uongo mwingine.
Bad luck sikuwa na chaji kwenye simu ningepiga picha ...ila ukweli nguzo zipo tupu kabisa hazina waya
 
Bad luck sikuwa na chaji kwenye simu ningepiga picha ...ila ukweli nguzo zipo tupu kabisa hazina waya
Wanasema nguzo na substations zipo tayari kabisa. Tatizo ni hayo madaraja ya juu na miundo mbinu ya reli Dar-Pugu
 
Boss mkubwa,ungetoa taarifa za kweli kuondoa mtanzuko huu.
Na kwa serikali hii kusingekuwa na watu wenye udhubutu wa kuanzisha tetesi ambazo wao mwanzo huziita majungu ila wakibanwa sana huja na majibu, sijui ingekuwaje.
 
Back
Top Bottom