Kipande cha Dar - Pugu chasababisha kuchelewa SGR Dar - Morogoro kuanza kutumika

Kipande cha Dar - Pugu chasababisha kuchelewa SGR Dar - Morogoro kuanza kutumika

Dsr Mpaka Pugu?

Nadhani ungeandika kutoka SGR Terminal mpaka Pugu Station
Hizonilugha zastations za treni. Tunaopanda treni za Mwakyembe tumeshazoea kusikia hivyo sauti ya kike ikitangaza kwamba "Treni yetu inaingia Dar es Salaam station" hata kama tumepandia hapa hapa Dar tena jijini
 
Wacha kupotosha umma, huu mradi unaujua wewe au unapewa story tu. Sisi tuko ndani ya mradi ndo tunajua ukweli wa mambo acheni kutoa taarifa za uwongo itawacost.
Ukweli ni upi sasa?
 
Wacha kupotosha umma, huu mradi unaujua wewe au unapewa story tu. Sisi tuko ndani ya mradi ndo tunajua ukweli wa mambo acheni kutoa taarifa za uwongo itawacost.

Itamcost nani nyie majizi wa kura na wapika data. Huo mradi mlisema kipande cha Dar-Moro kitakamilika nov 2019, mbona sasa ni mwaka zaidi na bado? Acha matisho ya kishamba ww limbukeni.
 
Labda tusubiri hiyo April
Labda April ya mwaka ujao maana tuliambiwa kipande cha Dar mpaka Moro kingeanza kutumika mwezi Novemba, 2019 lakini kumbe hata Pugu Reli haijafika. Kipande cha Mwanza mpaka Isaka tunaambiwa kinaanza kujengwa
karibuni tusishangae kama nacho kitachukua miaka 5 maana umbali ni karibu sawa. Mradi mkakati huo!
 
Juzi Kati nilikuwa mitaa ya kipawa

Kuna mahali wamejenga daraja Kuna sehemu zingine hakuna na inaweza chukua hata mwaka kukamilika
 
Wacha kupotosha umma, huu mradi unaujua wewe au unapewa story tu. Sisi tuko ndani ya mradi ndo tunajua ukweli wa mambo acheni kutoa taarifa za uwongo itawacost.
Bado wiki mbili tufike April, hatuoni dalili za kutest wala ununuzi wa mabehewa na vichwa. Ngoja tusibili huo mkwara wako tuone utatest nini
 
Tatizo lako upeo ni mdogo katika construction yeyote kuna kitu kinaitwa unforseen obstacles unaelewa maana ya hilo neno au unataka nidadavue zaidi.... so hua vitu vina erupt na kupelekea delay fulani so usikariri 1+1 = 2 use your common sence mate
Unforseen obstacles zipi ambazo zimefanya mradi usikamilike kwa wakati? Kwani upembuzi yakinifu haukufanyika? Kwa nini uchelewe zaidi ya miaka miwili.
 
Back
Top Bottom