Boss mkubwa,ungetoa taarifa za kweli kuondoa mtanzuko huu.Wacha kupotosha uma, huu mradi unaujua wewe au unapewa story tu... sisi tuko ndani ya mradi ndo tunajua ukweli wa mambo acheni kutoa taarifa za uwongo itawacost......
Huyu anapayuka hovyoBoss mkubwa,ungetoa taarifa za kweli kuondoa mtanzuko huu.
Namsubiria hapa, maana sisi hatuna sehemu sahihi ya kuuliza haya maswali na kupata uhalisia wa yanayoendelea.Huyu anapayuka hovyo
Nyie ndiyo mnasababisha watu wanaichukia serikali na miradi yenyewe. Majibu yenu yanakera. Kama hamna details za mradi kwa nn mnaleta habari zisizojitosheleza?Acha kuamini
Mabeberu wakazione.Za nini?
Samaki, hasa jamii ya "shark" wanamacho makali sana, huweza kuona kitoweo hata kikiwa Km14ππππ"Dar mpaka Pugu"
Mbona nguzo zote zilizoko kandokando ya reli hazina waya hata mmoja wa kudanganyishia!!!
Bad luck sikuwa na chaji kwenye simu ningepiga picha ...ila ukweli nguzo zipo tupu kabisa hazina wayaItatumia Wi-Fi maeneo hayo πππ, Niliposikia waziri mkuu anasema kipande cha Dar-Moro kinaanza kazi mwezi aprili mwaka huu, nilijua ni uongo kama uongo mwingine.
Wanasema nguzo na substations zipo tayari kabisa. Tatizo ni hayo madaraja ya juu na miundo mbinu ya reli Dar-PuguBad luck sikuwa na chaji kwenye simu ningepiga picha ...ila ukweli nguzo zipo tupu kabisa hazina waya
Labda tusubiri hiyo AprilWanasema nguzo na substations zipo tayari kabisa. Tatizo ni hayo madaraja ya juu na miundo mbinu ya reli Dar-Pugu
Na kwa serikali hii kusingekuwa na watu wenye udhubutu wa kuanzisha tetesi ambazo wao mwanzo huziita majungu ila wakibanwa sana huja na majibu, sijui ingekuwaje.Boss mkubwa,ungetoa taarifa za kweli kuondoa mtanzuko huu.
April wamesema haiwezekani. Mwisho wa mwaka huu.Labda tusubiri hiyo April
Mabeberu wanatufitiniApril wamesema haiwezekani. Mwisho wa mwaka huu.
Itawacost nini? watu wa JF hawatishwi kwenda huko!Wacha kupotosha umma, huu mradi unaujua wewe au unapewa story tu. Sisi tuko ndani ya mradi ndo tunajua ukweli wa mambo acheni kutoa taarifa za uwongo itawacost.
So so fresh na mzeiyaaaa.