Hizonilugha zastations za treni. Tunaopanda treni za Mwakyembe tumeshazoea kusikia hivyo sauti ya kike ikitangaza kwamba "Treni yetu inaingia Dar es Salaam station" hata kama tumepandia hapa hapa Dar tena jijiniDsr Mpaka Pugu?
Nadhani ungeandika kutoka SGR Terminal mpaka Pugu Station
Tofauti kati ya watu wa JF na watu wa mtaani ni ipi ??Itawacost nini? watu wa JF hawatishwi kwenda huko!
Ukweli ni upi sasa?Wacha kupotosha umma, huu mradi unaujua wewe au unapewa story tu. Sisi tuko ndani ya mradi ndo tunajua ukweli wa mambo acheni kutoa taarifa za uwongo itawacost.
Wacha kupotosha umma, huu mradi unaujua wewe au unapewa story tu. Sisi tuko ndani ya mradi ndo tunajua ukweli wa mambo acheni kutoa taarifa za uwongo itawacost.
Labda April ya mwaka ujao maana tuliambiwa kipande cha Dar mpaka Moro kingeanza kutumika mwezi Novemba, 2019 lakini kumbe hata Pugu Reli haijafika. Kipande cha Mwanza mpaka Isaka tunaambiwa kinaanza kujengwaLabda tusubiri hiyo April
Muda waliotumia wachina kujenga reli toka Dar hadi New Kapirmposhi Zambiakama nacho kitachukua miaka 5 maana umbali ni karibu sawa. Mradi mkakati huo!
Bado wiki mbili tufike April, hatuoni dalili za kutest wala ununuzi wa mabehewa na vichwa. Ngoja tusibili huo mkwara wako tuone utatest niniWacha kupotosha umma, huu mradi unaujua wewe au unapewa story tu. Sisi tuko ndani ya mradi ndo tunajua ukweli wa mambo acheni kutoa taarifa za uwongo itawacost.
where we dare to talk openly! kama bado hujaelewa salamaleko!Tofauti kati ya watu wa JF na watu wa mtaani ni ipi ??
Unforseen obstacles zipi ambazo zimefanya mradi usikamilike kwa wakati? Kwani upembuzi yakinifu haukufanyika? Kwa nini uchelewe zaidi ya miaka miwili.Tatizo lako upeo ni mdogo katika construction yeyote kuna kitu kinaitwa unforseen obstacles unaelewa maana ya hilo neno au unataka nidadavue zaidi.... so hua vitu vina erupt na kupelekea delay fulani so usikariri 1+1 = 2 use your common sence mate
Pumbavu, sina muda mchafu. Mjinga na mpuuzi kama wewe. Ilala namba tano kwa makahaba Buguruni.Ukitaka kujua njoo unione ofisini kwangu... Ilala Ofisi number 5.