Kipande cha sabuni chafikia Tshs 900

Nyie mnaishi Nchi gani?
 
Kuna sabuni ya mche ilikuwa inaitwa kwanga, bado ipo?
 
Rais hafai.
Yupo kama kuku wa kuchora wa Diamondi Platnumz
 
Tuliambiwa "TANZANIA YA VIWANDA" kumbe hakuna hata vya kutengeneza SABUNI...πŸŽ£πŸ“ŒπŸœ

Eti Jamaa Laundry Soap na white wash zinatoka "K.E"πŸ‡°πŸ‡ͺ
 
"kipande cha sabuni mia tisa hamsiniiii...jiulize kilo ya unga itakuajeee??"[emoji443][emoji444][emoji444][emoji445]

Bora nirudi jela by Hussein Machozi

Hatimaye maneno ya jamaa yametimia by 2022.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Tuendelee kumuombea aupige mwingi tuache wivu mwenye nacho ale tu anaendelea kuifungua nchi iliyojaa mazuzu
 
Halafu kuna mtu anasema mama anapendwa, 2025 atateleza tuu kama gari limekosa breki mlima sekenke!!!

Mama akipita kwa haki kabisa, niondolewe j.f
Apite kwa chama kipi na agombee nafasi ipi na ateuliwe na nani kwa mila ipi kwa tamaduni ipi, achukue chake mapema ila 2025 asithubutu kuiwaza kamwe haitatokea. Mpito ni mpito tu ifahamike hivyo.
 
Tz mna raha sana sie huku marekani kipande cha sabuni tunanunua elf5, mche tunauziwa elf30 na hatulalamiki.
 
Msoga Jazz Band-walamba asali leo tupo hapa!
Sisi huku Masaki na Oysterbay tunatumia Aeriel na Omo ambazo tunaimport,sasa hiyo Miche ya JAMAA sisi atutumii,kama imepanda acha kununua 😁😁
Burudani iendelee!
 
Haina shida tutatumia mapapai,kazi kwenu watoto wa digital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…