Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Leo nimenunua jamaa 3600 mchesabuni ya jamaa nayo inaelekea huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nimenunua jamaa 3600 mchesabuni ya jamaa nayo inaelekea huko.
Kwa bongo mtazoea tu!Shida haizoeleki. Njaa haijawahi kumpendeza mtu
Nyie mnaishi Nchi gani?Tumezoea sio kawaida sabuni za kawaida zinazokatwa vipande kupanda bei,tumezoea kuwa mche wa sabuni ukipanda sana ni tshs 500/= lakini hadi sasa mche wa sabuni umepanda kutoka shs 2300/= ya mwezi march na kufikia tshs 4000/ kwa mwezi may.Kipande cha sabuni bei yake ilikuwa ni tshs 500/= na kwa sasa kipande kimefikia tshs 800 hadi 900.
Kwa sasa hakuna kitu hakijapanda BEI. Misumali haijapanda hada shs moja kwa kipindi cha miaka 9,ila kwa kipindi hiki imepanda kutoka 3000 kwa kilo moja hadi tsshs 5000 kwa kilo.
nakumbuka mh.waziri mkuu aliwahi kuwaagiza wakuu wa mikoa na wilaya kutembelea masokoni na kwenye maduka ya kawaida ili kuwadhibiti wafanyabiashara wanaopandisha bidhaa holela ila hadi sasa hakuna hatua zozote zilizochukuliwa hadi sasa kudhibiti hali hiyo.
Hali sio nzuri sana kwa sasa.
Kila kitu mnamsingizia huyo hayati na vita ya Ukraine,The effect of mwendazake
Halafu kuna mtu anasema mama anapendwa, 2025 atateleza tuu kama gari limekosa breki mlima sekenke!!!Tuliambiwa "TANZANIA YA VIWANDA" kumbe hakuna hata vya kutengeneza SABUNI...🎣📌🐜
Aisee!!!The effect of mwendazake
Tuendelee kumuombea aupige mwingi tuache wivu mwenye nacho ale tu anaendelea kuifungua nchi iliyojaa mazuzuTumezoea sio kawaida sabuni za kawaida zinazokatwa vipande kupanda bei,tumezoea kuwa mche wa sabuni ukipanda sana ni tshs 500/= lakini hadi sasa mche wa sabuni umepanda kutoka shs 2300/= ya mwezi march na kufikia tshs 4000/ kwa mwezi may.Kipande cha sabuni bei yake ilikuwa ni tshs 500/= na kwa sasa kipande kimefikia tshs 800 hadi 900.
Kwa sasa hakuna kitu hakijapanda BEI. Misumali haijapanda hada shs moja kwa kipindi cha miaka 9,ila kwa kipindi hiki imepanda kutoka 3000 kwa kilo moja hadi tsshs 5000 kwa kilo.
nakumbuka mh.waziri mkuu aliwahi kuwaagiza wakuu wa mikoa na wilaya kutembelea masokoni na kwenye maduka ya kawaida ili kuwadhibiti wafanyabiashara wanaopandisha bidhaa holela ila hadi sasa hakuna hatua zozote zilizochukuliwa hadi sasa kudhibiti hali hiyo.
Hali sio nzuri sana kwa sasa.
Apite kwa chama kipi na agombee nafasi ipi na ateuliwe na nani kwa mila ipi kwa tamaduni ipi, achukue chake mapema ila 2025 asithubutu kuiwaza kamwe haitatokea. Mpito ni mpito tu ifahamike hivyo.Halafu kuna mtu anasema mama anapendwa, 2025 atateleza tuu kama gari limekosa breki mlima sekenke!!!
Mama akipita kwa haki kabisa, niondolewe j.f
Thubutu yako! Wa kukaa marekani awe wewe?. Mavi ya kuku..!Tz mna raha sana sie huku marekani kipande cha sabuni tunanunua elf5, mche tunauziwa elf30 na hatulalamiki.
Msoga Jazz Band-walamba asali leo tupo hapa!Tumezoea sio kawaida sabuni za kawaida zinazokatwa vipande kupanda bei,tumezoea kuwa mche wa sabuni ukipanda sana ni tshs 500/= lakini hadi sasa mche wa sabuni umepanda kutoka shs 2300/= ya mwezi march na kufikia tshs 4000/ kwa mwezi may.Kipande cha sabuni bei yake ilikuwa ni tshs 500/= na kwa sasa kipande kimefikia tshs 800 hadi 900.
Kwa sasa hakuna kitu hakijapanda BEI. Misumali haijapanda hada shs moja kwa kipindi cha miaka 9,ila kwa kipindi hiki imepanda kutoka 3000 kwa kilo moja hadi tsshs 5000 kwa kilo.
nakumbuka mh.waziri mkuu aliwahi kuwaagiza wakuu wa mikoa na wilaya kutembelea masokoni na kwenye maduka ya kawaida ili kuwadhibiti wafanyabiashara wanaopandisha bidhaa holela ila hadi sasa hakuna hatua zozote zilizochukuliwa hadi sasa kudhibiti hali hiyo.
Hali sio nzuri sana kwa sasa.
Haina shida tutatumia mapapai,kazi kwenu watoto wa digitalTumezoea sio kawaida sabuni za kawaida zinazokatwa vipande kupanda bei,tumezoea kuwa mche wa sabuni ukipanda sana ni tshs 500/= lakini hadi sasa mche wa sabuni umepanda kutoka shs 2300/= ya mwezi march na kufikia tshs 4000/ kwa mwezi may.Kipande cha sabuni bei yake ilikuwa ni tshs 500/= na kwa sasa kipande kimefikia tshs 800 hadi 900.