Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Kuijenga nchi sio sawa na kuijenga nyumba ya vyumba vitatu, ni mchakato wa miaka na miaka.Ilani ambazo zimeshindwa kuwapatika watanzania maisha bora aka maendeleo ya watu - watanzania hawa bado wapo kwenye lindi la umasikini mkubwa huku wakipambana na wale maadui watatu ambao Rais wa kwanza Nyerere (Umaskini, Maradhi na Ujinga) aliwataja miaka takribani 60 iliiyopita.
Hizi naongelea ni ilani za uchaguzi za CCM katika awamu tofauti tofauti.
Ukizingatia ukubwa wa Tanzania.