UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Jipangeni mwende mkaing'oe ili mmfute kabisa hata kwenye kumbukumbuHii sio legacy ... Hii ni kumbukumbu.. Kuna tofauti kubwa kati ya legacy na memory
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipangeni mwende mkaing'oe ili mmfute kabisa hata kwenye kumbukumbuHii sio legacy ... Hii ni kumbukumbu.. Kuna tofauti kubwa kati ya legacy na memory
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Ulaya intercity permanent way zina njia ngapi? Labda tuanzie hapo.
Eee eeeeeh!! Sukuma wa... sukuma waa... lelileleleleeeee.... na dokta Remmy OngalaNadhani utekelezaji wa hii miradi ya kimkakati iko kwenye ilani ya chama inawezaje kuwa ni legacy ya mtu?
Tangu jana mpaka leo watu tunaomba picha hakuna halafu leo mnaleta kapicha kamoja tu!!PICHA
Na bado ya TAZARA hatujaiita legacy ya Nyerere..Tazara ambayo ni zaidi ya1800 kms ilijengwa kwa miaka 5.
..Tazara ni kutoka Dar es salaam mpaka Kapiri Mposhi Zambia.
..sijui kwanini reli ya Dar es salaam to Morogoro inachukua muda mrefu kiasi hiki.
..kila wakati tunapewa ahadi mpya kuhusu lini reli ujenzi utakamilika, na lini reli itaanza kufanya kazi.