Kipande cha wimbo mpya wa Dimond platnumz chavunja rekodi

Kipande cha wimbo mpya wa Dimond platnumz chavunja rekodi

Kwa sasa kama unataka kufuatilia miziki ya ukweli fuatilia nyimbo za Ghana,hazisikiki ila ukisikia unaenjoy
 
Ms.Lincoln

Katika kitu anacho kosea mpiga picha wa diamond ni jinsi ya kuwasilisha habari zake maana huacha maswali mengi!

Ameshindwa kusema hata kidogo kama wamefanya uchunguzi na kubaini nani amehusika kuvujisha huo wimbo!
Wimbo ulikuwa wapi?
Kwa producer?
Kwa Diamond?
Diamond ana share nani computer yake au kifaa anacho tumia kuhifadhi nyimbo?
Kifaa kilicho kuwa na nyimbo hiyo kiliibiwa na kupelekea kuvuja kwa wimbo huo?
Kwanini kila Leo ni yeye?

Pamoja na wimbo kuvuja mbona maandishi yake yanaonesha amefurahishwa na anafanya promo?

Kwakweli hakuna njia ya kijinga kama hii wanayo jaribu kutumia! Halafu huwasingizia watu wamevujisha kumbe ni wao wenyewe!

Maandishi ya mtoa mada yanaonesha wazi kabisa wao ndio wamevujisha huo wimbo na ilikuwa ni mpango wao wa kibiashara!
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwanini tusiamini Diamond huvujisha mwenyewe nyimbo zake?
Nani huzivujisha?
Nani huziifadhi?
Zina vujishwa na Wema?
Zina vujishwa na Romy?
Diamond ni msanii careless kuliko wote?

Kwanini yeye kila Leo?
Kwanini kila anapo taka kutoa wimbo mambo kama haya hutangulia? Kwanini kila siku hutumia style hiyo hiyo kutafuta tention ya nyimbo zake?

Kuna wimbo wake alisema ulivuja akiwa kwa producer Fulani kama sijakosea ni Maneck!na producer alipoulizwa alicheka sana akasema kwanini ni yeye tuu nyimbo zake ndio zina vuja? Mwisho alisema ngoja tuone...... ukweli utajulika .

Kweli nimeamini muda huongea ...katika hii nina uhakika kabisa Diamond na timu yake huvujisha nyimbo makusudi kupima upepo na kutafuta tention!

Diamond ni msanii mzuri haitaji kuendelea na hizi tabia za kutafuta kick ndio atoe wimbo!

nani kasema huu wimbo umevuja???...ameupos mwenyewe katika account yake ya instagram...tusiwe tunakurupuka kama cha asubuhi
 
Katika kitu anacho kosea mpiga picha wa diamond ni jinsi ya kuwasilisha habari zake maana huacha maswali mengi!

Ameshindwa kusema hata kidogo kama wamefanya uchunguzi na kubaini nani amehusika kuvujisha huo wimbo!
Wimbo ulikuwa wapi?
Kwa producer?
Kwa Diamond?
Diamond ana share nani computer yake au kifaa anacho tumia kuhifadhi nyimbo?
Kifaa kilicho kuwa na nyimbo hiyo kiliibiwa na kupelekea kuvuja kwa wimbo huo?
Kwanini kila Leo ni yeye?

Pamoja na wimbo kuvuja mbona maandishi yake yanaonesha amefurahishwa na anafanya promo?

Kwakweli hakuna njia ya kijinga kama hii wanayo jaribu kutumia! Halafu huwasingizia watu wamevujisha kumbe ni wao wenyewe!

Maandishi ya mtoa mada yanaonesha wazi kabisa wao ndio wamevujisha huo wimbo na ilikuwa ni mpango wao wa kibiashara!

huu wimbo haujavuja kaka ..punguza kukurupuka aseee, wimbo dimond alianza kutoa vipnde kupitia account yake ya instagram maana nakuona umekomaa umevujaumevuja, uwe unauliza kwanza kuliko kujitengenezea majibu yako mwenyewe mkuu
 
Kwa sasa kama unataka kufuatilia miziki ya ukweli fuatilia nyimbo za Ghana,hazisikiki ila ukisikia unaenjoy

Unaenjoy vipi wakati hazisikiki...??
 
we kaka unajenga hoja vizuri sana
anafnya kusudi kupima upepo km mbaya anarudi tena ni dalili za kutojiamini hizo zote
mbona wasanii wengine wanatoa moja kwa moja na zinakubalika tu

si lazima wote wafanane katika namna ya kutoa nyimbo zao,..pengine hii ndo inachangia dimond kuwa juu zaidi ya hao wanaotoa moja kwa moja
 
huu wimbo haujavuja kaka ..punguza kukurupuka aseee, wimbo dimond alianza kutoa vipnde kupitia account yake ya instagram maana nakuona umekomaa umevujaumevuja, uwe unauliza kwanza kuliko kujitengenezea majibu yako mwenyewe mkuu

Mkuu mbona unaongea kama mtu wa karibu wa diamond? Ukifeli najua story mtayo kuja nayo ndiyo ninayo iongelea! Muda huongea! Kwani wewe ni kifesi? Samahani lakini
 
Mie nimeupenda keep it up diamond....

"Bado ananijia ndotoni
Kila nikiamka simuoni
Bado ananijia nikilala
Haki ya Mungu si masiharaaaaa"

Duh....sijui alijuajeeee na leo silali namsubiriiiii, mechoka kumuota atiiiii....!
 
si lazima wote wafanane katika namna ya kutoa nyimbo zao,..pengine hii ndo inachangia dimond kuwa juu zaidi ya hao wanaotoa moja kwa moja

Worry not...time unaweka uzi wimbo ulikuwa na viewers 3771...now 4159....tunaisoma hata kama hatutaki....

Mwambie aachie mautamu yote...ndo nini kutupa kidogo hivi....
 
Worry not...time unaweka uzi wimbo ulikuwa na viewers 3771...now 4159....tunaisoma hata kama hatutaki....

Mwambie aachie mautamu yote...ndo nini kutupa kidogo hivi....

Nimejaribu kuusikiliza huu wimbo ni mzuri lakini bila shaka una hitaji maboresho ili kuvuta zaidi hisia kwa jinsi ulivyo vile hauvutii! Lakini nina uhakika utafanyiwa maboresho!
 
"Bado ananijia ndotoni
Kila nikiamka simuoni
Bado ananijia nikilala
Haki ya Mungu si masiharaaaaa"

Duh....sijui alijuajeeee na leo silali namsubiriiiii, mechoka kumuota atiiiii....!

haha huu wimbo noma
 
Back
Top Bottom