Mawazo nilokuwa nayo kabla ya kufungua uzi, wakati nasoma comments na ninapoondoka ni kwamba kila kiungo cha mwanadamu kina dhamani katika uhai wa mwanadamuu
Embu waza endapo una vidole vinne vya mkono mada dole gumba linakatwaaa duh
Mbona private parts twahangaika zihifadhi ivoooo .....