Kipande kidogo cha nyama chenye thamani zaidi duniani

Kipande kidogo cha nyama chenye thamani zaidi duniani

Mawazo nilokuwa nayo kabla ya kufungua uzi, wakati nasoma comments na ninapoondoka ni kwamba kila kiungo cha mwanadamu kina dhamani katika uhai wa mwanadamuu

Embu waza endapo una vidole vinne vya mkono mada dole gumba linakatwaaa duh
Mbona private parts twahangaika zihifadhi ivoooo .....
 
Nyama ni tissue za misuli ,kuna skeletal,cardiac na soft musclels,haya ni maelezo mafupi tu na ya haraka kuhusu misuli.
Ndugu ubongo ni nyama, hila ukiingia deep zaidi kibailojia ndio wanafanya hizo distinctive scenario zenu but in generally ubongo ni nyama.
 
Back
Top Bottom