Nashukuru kwa ushauri,ila ninaomba mnielimishe nyie upande wenu ilikuwaje?Maana mimi ni mgeni wa mambo haya!!!!Mpeleke hospital atolewe huoni kama una risk afya ya mke wako
Hapo kwenye kondom ndiyo mtihani mkubwa kwangu,labda hiyo withdraw naomba unieleweshe ni nini na inafanywaje?Akakitoe kimemkataa in short Hakuna njia salama ya uzazi wa mpango cha msingi tumieni condoms au withdraw ni Nzuri na mtakuwa na uhakika wa kupata mimba ingine pindi mtakapohitaji
Sijawahi tumia hivyo vitu ila kwa hiyo case ya mke wako hapo kuna tatizo suluhisho ni kutolewa kabla hajapata madhara makubwa zaidiNashukuru kwa ushauri,ila ninaomba mnielimishe nyie upande wenu ilikuwaje?Maana mimi ni mgeni wa mambo haya!!!!
Sijawatenga,isipokuwa lazima tuwe wa kweli.Njia za uzazi wa mpango ziko kwa ajili yetu sote.LAKINI mara nyingi sisi wanaume huwa tunawaachia wanawake ndiyo wafanyiwe vitu hivyo tu!!!ningekupa ushauri ila sababu ushatutenga wanaume (Title yako) basi acha niangalie tu..!!!!!
Hospital wanampa dawa za kutuliza maumivu.Ila ameshawaambia kuwa aliwekewa hicho kinani-hiii,na ana mashaka huenda ndiyo chanzo cha tatizo!!!Hadi unaomba ushauri humu ulishaenda hospital akashindwa kutibiwa?
Sasa unataka umpe ushauri kwani nawrwe unatumia uzazi wampango[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]ningekupa ushauri ila sababu ushatutenga wanaume (Title yako) basi acha niangalie tu..!!!!!
hii imenifanya nichekee kidogo mkuu![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo kwenye kondom ndiyo mtihani mkubwa kwangu,labda hiyo withdraw naomba unieleweshe ni nini na inafanywaje?
Hivi unaweza kutumia cndm ukiwa na mumeo?Akakitoe kimemkataa in short Hakuna njia salama ya uzazi wa mpango cha msingi tumieni condoms au withdraw ni Nzuri na mtakuwa na uhakika wa kupata mimba ingine pindi mtakapohitaji
DU,MBONA UMENITISHA SANA!!!!!!!!!hii imenifanya nichekee kidogo mkuu![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ila iko hv nendeni hosp!
hyo inafanywa hivi,ukishatia ukikaribia kufika kileleni mwanaume unatoa dudu(dushe ama ****) ukeni unamwaga nje...angalizo wachache tu ndo wanaoweza!
NJIA ZA UZAZI WA MPANGO NI KIFO KIFO KIFOOOOOO isipokuwa ile yakutumia KALENDA kwa mwanamke,condoms japo nazo siziamini na withdraw yaani kumwaga njeeee!
ukishangaa huji kupata mtoto ng'ooooooooooooo utabaki na mmoja tu km dawa.
Hadi unaomba ushauri humu ulishaenda hospital akashindwa kutibiwa?