Kipandikizi kinamtesa mke wangu, tumbo linamuuma na haoni siku zake

Kipandikizi kinamtesa mke wangu, tumbo linamuuma na haoni siku zake

Mimi ni kaka yenu nina mpenzi tumefanikiwa kupata mtoto ambaye tunataka kabla ya mwingine kupatikana huyu awe ni mkubwa angalau miaka mitatu.Sasa katika kuitimiza ahadi hiyo wifi yenu aliwekewa kile kipandikizi pale kwenye mkono.Sasa tumbo linamsumbua sana na ugonjwa hauonekani.Pia kichwa ndo usiseme.Ajabu huu ni mwezi wa 10 hajaona siku zake.Akina dada nishaurini nini nifanye haraka.Maana alivyo mpaka ninaogopa.Upande wenu nyie huwa inakuwaje?

Jifunzeni kutumia natural means kuzuia mimba!!! hata condom, sio lazima kufanya mapenzi kavu, muache ULAKU jamani! hapo mwanamke akipatwa na hayo lidume linaanza hangaika, Poleni Mama zetu!
 
nenda hospital mkatoe hiko sijui ni kitanzi au kijiti aisee hapa ndio ninapouona umuhimu wa calendar
 
Akakitoe kimemkataa in short Hakuna njia salama ya uzazi wa mpango cha msingi tumieni condoms au withdraw ni Nzuri na mtakuwa na uhakika wa kupata mimba ingine pindi mtakapohitaji

Withdraw simshaur sana.....unless awe fund na mzoefu wa hii kitu for a long time
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fafanua vizuri unanipendaje maana mabaradhuli huku ni wengii wasije wakakupokonya[emoji14] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
ha!!!! ha!!!! ha!!! ha!!!
acha wahangaike tu.. ila mi najua huwezi kuniangusha... sababu tumependana ghaflaaaaaaaaa!!!!!
 
Mkuu fanya haraka sana mkatoe hayo makitu, madhara yake ni makubwa sana sana,

Ushuhuda~ Mtoto wangu wa kwanza na wapekee ana miaka nane sasa, nimesha jituma sana nusu ya kuteguka mgongo kumtafutia mdogo wake lakini holaaa,

Nimebaki kutegemea miujiza tu ya MUNGU , Ma Dr wanasema tatizo hakuna chanzo VIJITI hivyo.
 
Kwa kua wanaume ni jeshi linaloaminika mpaka na wanawake wacha namimi nichangie kuokoa jahazi .

Kuanzia leo tambua hizo njia za uzazi wa mpango zina weakness nyingi sana zinaweza kuepelekea mkeo asishike mimba.
Nenda clinic mkatoa hiyo kitu.

Njia ninayokushauri kutumia na hata mimi na mama watoto tunaitumia ni kalenda na kondom, naamini hii ndo njia nzuri na salama kwa zaidi 90% maana mpaka leo sijawahi kukosea.

Kama hujui kalenda kuna nyuzi mbalimbali humu zimezungumzia tafuta ujisomee kama hutaelewa niulize nitakuelewesha in a simple way kabisa.
Nikutakie kila la heri mkuu
 
ha!!!! ha!!!! ha!!! ha!!!
acha wahangaike tu.. ila mi najua huwezi kuniangusha... sababu tumependana ghaflaaaaaaaaa!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we haya watu wahumu wamezoea vithibiti sasa kiupindisha pindisha maneno. Utakuta MTT siye wako
 
Suluhisho ni kwenda hospital kutoa kijiti, matatizo yote yatakwisha na ataona siku zake kama kawaida
 
Jifunzeni kutumia natural means kuzuia mimba!!! hata condom, sio lazima kufanya mapenzi kavu, muache ULAKU jamani! hapo mwanamke akipatwa na hayo lidume linaanza hangaika, Poleni Mama zetu!
ULAKU NI NINI????
 
Back
Top Bottom