Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
Mnooo mi mwenyewe sijawahi tumia njia ya uzazi wa mpangoo mwendo wa kalendaAkatoe tuu hiyo kitu..
Kama wewe sio mnywaji, kalenda huwa ni nzuri mnoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnooo mi mwenyewe sijawahi tumia njia ya uzazi wa mpangoo mwendo wa kalendaAkatoe tuu hiyo kitu..
Kama wewe sio mnywaji, kalenda huwa ni nzuri mnoo
UmeonaeeMnooo mi mwenyewe sijawahi tumia njia ya uzazi wa mpangoo mwendo wa kalenda
Mimi ni kaka yenu nina mpenzi tumefanikiwa kupata mtoto ambaye tunataka kabla ya mwingine kupatikana huyu awe ni mkubwa angalau miaka mitatu.Sasa katika kuitimiza ahadi hiyo wifi yenu aliwekewa kile kipandikizi pale kwenye mkono.Sasa tumbo linamsumbua sana na ugonjwa hauonekani.Pia kichwa ndo usiseme.Ajabu huu ni mwezi wa 10 hajaona siku zake.Akina dada nishaurini nini nifanye haraka.Maana alivyo mpaka ninaogopa.Upande wenu nyie huwa inakuwaje?
Saaana Dada yng ila inahitajika umakini wa hali ya juu...vinginevyo mimba nje njeUmeonaee
Saaana Dada yng ila inahitajika umakini wa hali ya juu...vinginevyo mimba nje njeUmeonaee
Kwani da shunie wewe unatumia ............???[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125]nenda hospital mkatoe hiko sijui ni kitanzi au kijiti aisee hapa ndio ninapouona umuhimu wa calendar
Akakitoe kimemkataa in short Hakuna njia salama ya uzazi wa mpango cha msingi tumieni condoms au withdraw ni Nzuri na mtakuwa na uhakika wa kupata mimba ingine pindi mtakapohitaji
sijawahi dear mm ni calendar mwanzo mwishoKwani da shunie wewe unatumia ............???[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125]
ha!!!! ha!!!! ha!!! ha!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fafanua vizuri unanipendaje maana mabaradhuli huku ni wengii wasije wakakupokonya[emoji14] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Calendar ni nzuri sana ukiijuliaSaaana Dada yng ila inahitajika umakini wa hali ya juu...vinginevyo mimba nje nje
Kumbe wa calendar humu tupo wengieeesijawahi dear mm ni calendar mwanzo mwisho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we haya watu wahumu wamezoea vithibiti sasa kiupindisha pindisha maneno. Utakuta MTT siye wakoha!!!! ha!!!! ha!!! ha!!!
acha wahangaike tu.. ila mi najua huwezi kuniangusha... sababu tumependana ghaflaaaaaaaaa!!!!!
ULAKU NI NINI????Jifunzeni kutumia natural means kuzuia mimba!!! hata condom, sio lazima kufanya mapenzi kavu, muache ULAKU jamani! hapo mwanamke akipatwa na hayo lidume linaanza hangaika, Poleni Mama zetu!
ULAKU NI NINI????
Ulafi wa mapenzi ukoje?Mbona ni kitu kipya hicho!!!!!!Ulafi wa mapenzi