mzee wa ngada
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 693
- 293
Atakuwa mmakonde huyo(Umunyu- Chumvini)..ningekupa ushauri ila sababu ushatutenga wanaume (Title yako) basi acha niangalie tu..!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa mmakonde huyo(Umunyu- Chumvini)..ningekupa ushauri ila sababu ushatutenga wanaume (Title yako) basi acha niangalie tu..!!!!!
Withdraw inakuwaje hiyo , mm huwa natumia condom na wifi yakoAkakitoe kimemkataa in short Hakuna njia salama ya uzazi wa mpango cha msingi tumieni condoms au withdraw ni Nzuri na mtakuwa na uhakika wa kupata mimba ingine pindi mtakapohitaji
Tumia kondomNashukuru kwa ushauri,ila ninaomba mnielimishe nyie upande wenu ilikuwaje?Maana mimi ni mgeni wa mambo haya!!!!
Mtihani kivipi ukitumia kondom , mm mke wangu dKt. Lakini hatumii hizo vipandikizi wala vidonge badala yake tunatumia kondomHapo kwenye kondom ndiyo mtihani mkubwa kwangu,labda hiyo withdraw naomba unieleweshe ni nini na inafanywaje?
Nashukuru kwa ushauri,ila ninaomba mnielimishe nyie upande wenu ilikuwaje?Maana mimi ni mgeni wa mambo haya!!!!