Kipandikizi kinamtesa mke wangu, tumbo linamuuma na haoni siku zake

Sasa unataka umpe ushauri kwani nawrwe unatumia uzazi wampango[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]
naona unawashwa sana.. njoo na spidi yako ya 4G tu.. nitakukuna usijari..!!!!
 
Hospital wanampa dawa za kutuliza maumivu.Ila ameshawaambia kuwa aliwekewa hicho kinani-hiii,na ana mashaka huenda ndiyo chanzo cha tatizo!!!
So huenda, tatizo ni kuwekewa hicho kipini cha uzazi, hatoziona siku zake hadi kitakapotolewa, na kikishatolewa anaweza pata bleeding hata miezi 3 mfululizo, tuweni makini na hizi njia, njia iliyobora ni kuepuka tu zile siku za hatari.
 
ningekupa ushauri ila sababu ushatutenga wanaume (Title yako) basi acha niangalie tu..!!!!!
du mi naagalia tu, mtoa uzi hajui madokta wengi ni wa kiumeni,hao akina mama wanawekewa hawajui hili wala lile wapate/wasipate madhara wao twende tu, abadili mada aulize madokta.
 
Akatoe.

Bora mvumilie mtumie kalenda au kitanzi

Mtakuja kusaka mtoto mpaka mtabasamu.....sio vizuri hivyo
 
Sio wote ambao Kijiti kina wakubali,jaribu kutoa kijiti mpe kama miezi mi3 apumzike atakua sawa,na huu mpango wa vijiti mie hata siaminishi,mdogo wangu ameweka yani alikua anatapika na kuumwa tumbo kila mwezi nahisi inategemea mtu na mtu...
 
haya Jovitha basi yameisha mama... au unataka niombe msamaha nianzishiwe uzi na mimi...!!!!
Uzi wa nn....Alf ngoja nikubali tu yaishee.....maana kwenye uzi wa couple za jamii forum nimeiona couple yk.....
Nimekubali yaishe baba
 
Uzi wa nn....Alf ngoja nikubali tu yaishee.....maana kwenye uzi wa couple za jamii forum nimeiona couple yk.....
Nimekubali yaishe baba
ila Jovitha kuna uzi ulipita hapi sekunde kadhaa ulinichambua aiseeee... kama nguo mnadani vile..!!!!
 
pole watu hawafanani kimemkataa japo kukosa hedhi ni kawaida so nendeni hospt akabadilishiwe njia nyengine
 
HUU UJINGA WA UZAZI WA MPANGO SITOKUJA KUMRUHUSU MKE WANGU AUTUMIE
 
Akatoe tuu hiyo kitu..
Kama wewe sio mnywaji, kalenda huwa ni nzuri mnoo
 
oky mamy... mi nakupenda sana ila sikuchokozi tena kumbe mkali hivyo..!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fafanua vizuri unanipendaje maana mabaradhuli huku ni wengii wasije wakakupokonya[emoji14] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…