Kipanya aibukia kwa Spika Ndugai

Kipanya aibukia kwa Spika Ndugai

Yule msanii maarufu wa michoro ya katuni au vibwengo kama kwetu sisi uswazi tunavyo viita ameibukia mjengoni kwa Ndugai.

Binafsi nimeshindwa kuitafsiri hiyo picha nini ina maanisha,hivyo wadau wenye ujuzi wa haya mambo tunaomba mtujulishe.

View attachment 1638090
17 wamemlalia kifuani ila 2 ambao ni mdee na bulaya ndo wanamlamba sikio kumpandisha hisia za kuwalinda
 
Ataitwa kwenye kamati ya chama ya kinga na sheria maana this time hatuna bunge
Aitwe kwani hapo kamchora nani.
Umeona jina la kiongozi yeyote hapo?
Yeye kachora picha za watu ila hajachora mtu.
 
Back
Top Bottom