Kipanya: Broo! Hiyo sio chuchu!

Huyo bro kachemka, kutaka kwake mapato bila plan, sasa amekamata "dhana"yeye anakamua tu!! Anafikiri atapata "maziwa" kumbe anapokamua hapatoi maziwa!! Sio sehemu ya kutoa maziwa!! Ina kazi nyingine, mwishowe ngombe/mtu atakufa!!

Tozo kwenye mihamala ya benk ya Walala hoi, haiwezi kukuza uchumi, ni kama "pumbu"za ngombe, haziwezi kutoa maziwa!!
 
Huyo mkamuaji ukiangalia rangi ya shati rake na hizo gumboots zake utaelewa,alafu kizibao kinafanana na rangi ya huyo ng'ombe alafu icheki hiyo rangi ya hiyo suruali.Kwenye fasihi kila kitu kinabeba dhana fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…