Kipanya: Broo! Hiyo sio chuchu!

Kipanya: Broo! Hiyo sio chuchu!

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Kwa mujibu wa katuni ya KP ya Leo 30 August 2022 anasema "Broo! Hiyo sio chuchu". Huyu Broo ni nani? Na kwanini asikamue "chuchu"? Anyway sijui anakamua nini Sasa?! Shukrani KP.

20220830_080032.jpg
 
Huyo bro kachemka, kutaka kwake mapato bila plan, sasa amekamata "dhana"yeye anakamua tu!! Anafikiri atapata "maziwa" kumbe anapokamua hapatoi maziwa!! Sio sehemu ya kutoa maziwa!! Ina kazi nyingine, mwishowe ngombe/mtu atakufa!!

Tozo kwenye mihamala ya benk ya Walala hoi, haiwezi kukuza uchumi, ni kama "pumbu"za ngombe, haziwezi kutoa maziwa!!
 
Huyo mkamuaji ukiangalia rangi ya shati rake na hizo gumboots zake utaelewa,alafu kizibao kinafanana na rangi ya huyo ng'ombe alafu icheki hiyo rangi ya hiyo suruali.Kwenye fasihi kila kitu kinabeba dhana fulani.
 
Back
Top Bottom