Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kwa mujibu wa katuni ya KP ya Leo 30 August 2022 anasema "Broo! Hiyo sio chuchu". Huyu Broo ni nani? Na kwanini asikamue "chuchu"? Anyway sijui anakamua nini Sasa?! Shukrani KP.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida tena ni hilo jina BRO. Alipaswa aandike WEWE NYANG'AU! 🙂"Bro" ni serikali ya Jamhuri ya Tanzania, na huyo mnyama ni sisi Wananchi, Tumekamukia maziwa kupitia kodi hadi tumechakaa, Sasa serikali inaona haitoshi inaendelea kutukamua tu
Ila KP Sijui Kawaza nini?!!!Anakamua mbupu
Anakamua sehemu ya hajaAu imekamuliwa hadi imegeuka uvimbe wa saratani?