inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Ili mkojo usirukie kwenye suruali, swala haitaki nguo yenye najisi (mikojo, mavi, matapishi, damu)Kumbuka wanaume wanatakiwa kukojoa wamechuchumaa mkuu,kwa mujibu wa Sheria za dini Yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili mkojo usirukie kwenye suruali, swala haitaki nguo yenye najisi (mikojo, mavi, matapishi, damu)Kumbuka wanaume wanatakiwa kukojoa wamechuchumaa mkuu,kwa mujibu wa Sheria za dini Yao.
Wipes ndio nini tena dada🥵🥵🥵Kweli toilet paper haisafishi bora uwe na wipes hapo sawa.
😂 noma sana 😂 😂 , kuna vitu vingi sana sivijuiWipes ndio nini tena dada🥵🥵🥵
Labda hio ni spesheli kwa wanawake tu😅😅😅😂 noma sana 😂 😂 , kuna vitu vingi sana sivijui
hahaha hatari sanaLabda hio ni spesheli kwa wanawake tu😅😅😅
Ni tissue laini zilizotengenezwa kwa vitambaa laini sana au karatasi na huwa zimewekwa maji maji kwa ajili ya kujifutia mikono au kunako. Mara nyingi watu huzitumia wakiwa safarini.Wipes ndio nini tena dada🥵🥵🥵
Mkivimba tundu la haja kubwa mtamlaumu nani!?Ni tissue laini zilizotengenezwa kwa vitambaa laini sana au karatasi na huwa zimewekwa maji maji kwa ajili ya kujifutia mikono au kunako. Mara nyingi watu huzitumia wakiwa safarini.
Zinatumika sana kwenye ndege na pia wengi hununua kusafishia watoto wanapojisaidia
Sidhani kama ni dini...Ni suala la usafi.Kipanya usilete uislamu hapa na uarabu.
Usafi? kwahiyo wazungu wachafu? Anayeyashika kwa vidole na kuyafukunyua na anyepangusa nani afadhali?Sidhani kama ni dini...Ni suala la usafi.
Huyu naye? Alichukua machuma akaungaunga na engine ya pikipiki ya sunlg akasema amegundua gari liko wapi?
Pia napo haisaifishi,tumia maji tiririka dada itakuweka mbali magonjwa ya kijinga Urinary tract infection (UTI),Pelvic inflammatory disease (PID),papuchi kutoa harufu kali kama mzoga na mengineyo utakuja kunishukuru baadae.Kweli toilet paper haisafishi bora uwe na wipes hapo sawa.
Yap kwa wakristo acha waendelee kutumia toilet paper wenyewe kwani huo ni unyama mwingi au sioKwa Waislam siku haiwezi kuisha bila kuzungumzia namna walivyo MAGWIJI wa KUCHAMBA/KUTAWADHA.
Ashukuriwe Mwarabu kwa hilo.
Somo lilieleweka hasa.
Sio lazima tuujue ujinga wako,muda mwengine ni kheri ubaki nao na uwe siri yako.Kwahiyo ukitumia maji huwa unachokonoa na maji huko ndani kabisa?
Tumia maji,ukikosa maji tumia mchanga.hayo hawayaoni. Ipi bora kushika mavi na vidole, yanaingia kwenye kucha unaondoka baada ya kunawa vimaji kiduchu au kupangusa na tissue..... tupime yote bila upendeleo
sheria ya dini Ya kiislamu ukichamba lazima uingize kidole inchi 1 uchokoe vikimba vilivyo baki jamaa hodari sana wa kujitia madole hawaYap kwa wakristo acha waendelee kutumia toilet paper wenyewe kwani huo ni unyama mwingi au sio
Akili kisoda wewe eeeenh,wewe ukitaka kula huwa unachukua tishu unapangusa mikono ndo unakula au una nawa mikono na maji,basi una2mia let's say uma au kijiko,jee kinaoshwa na maji au kinapanguswa na tishu,Usafi? kwahiyo wazungu wachafu? Anayeyashika kwa vidole na kuyafukunyua na anyepangusa nani afadhali?
Yap kwa sababu uislam ni usafi,isitoshe mtu akiingiza kidole mwenyewe si tatizo kwa kuwa anajisafisha,pia mtu anapo oshwa hivyo hivyo pia,uislam ni usafi ndugu yangu so proud to be a muslim.sheria ya dini Ya kiislamu ukichamba lazima uingize kidole inchi 1 uchokoe vikimba vilivyo baki jamaa hodari sana wa kujitia madole hawa
Me kwanza situmiagi hivyoPia napo haisaifishi,tumia maji tiririka dada itakuweka mbali magonjwa ya kijinga Urinary tract infection (UTI),Pelvic inflammatory disease (PID),papuchi kutoa harufu kali kama mzoga na mengineyo utakuja kunishukuru baadae.