ngoshabunda
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 122
- 178
NimechekaaaaaaaUsafi halisi Ni kushika mavi na vidole Baada ya hapo unasafisha vidole kwa maji Safi,na sio kutumia Toilet paper na kubakiza chembechembe za mavi na mabaki ya karatasi matakoni.
Yaani mtu mzima unakuta anatembea na mabaki ya mavi katikati ya makalio.
Bora kushika unasafisha na maji kuliko kuacha yamegandana mk****niJe kushika uharo na mikono/vidole, ipi ina nafuu?
Unanawa vizuri tu na sabuni hakuna Cha maji kiduchuhayo hawayaoni. Ipi bora kushika mavi na vidole, yanaingia kwenye kucha unaondoka baada ya kunawa vimaji kiduchu au kupangusa na tissue..... tupime yote bila upendeleo
[emoji23][emoji1787]Usafi halisi Ni kushika mavi na vidole Baada ya hapo unasafisha vidole kwa maji Safi,na sio kutumia Toilet paper na kubakiza chembechembe za mavi na mabaki ya karatasi matakoni.
Yaani mtu mzima unakuta anatembea na mabaki ya mavi katikati ya makalio.
Akili za kitumwa hizi kwavile mzungu anafanya unaona yuko sawa endelea kukaa na mavi acha wastaarabu wajisafisheUsafi? kwahiyo wazungu wachafu? Anayeyashika kwa vidole na kuyafukunyua na anyepangusa nani afadhali?
Akujibu nitagAkili kisoda wewe eeeenh,wewe ukitaka kula huwa unachukua tishu unapangusa mikono ndo unakula au una nawa mikono na maji,basi una2mia let's say uma au kijiko,jee kinaoshwa na maji au kinapanguswa na tishu,
Punguza kuwa na akili mgando
Mie hata mkojo tu siwezi kupangusha na toilet paper naona nanuka njia nzima.
Ustaarabu ni kutumia maji halafu unajikausha na tp,tissue au wipes.
Kweli, kila mtu na imani yake, dini hiyo na si weweeeeeeeeeee? Mbona huko tumboni yamegandamana? nako safisha basi.... Unanawa saa ngapi na sabuni gani, tunawaona mnapokuwa safarini, sabuni unaipata wapi na maji ya kutosha....Bora kushika unasafisha na maji kuliko kuacha yamegandana mk****ni
mchanga unafanya concrete ya mavi na mchanga unashika!Tumia maji,ukikosa maji tumia mchanga.
Hili suala linahusu zaidi watu wasio watanzania hasa DRC Congo na Kenyans. Maana 'tishu' kwao ni jadi"Hivi wale wanaotumia 'tishu' tu kujisafisha chooni, huwa wanashusha mizigo hii hii tunayoishusha sisi au wenzetu mizigo yao inakuwa dry, odourless and sophisticated?"
View attachment 2383755
Mimi kwangu ni mwendo wa kutumia shattaf hizi mambo za kutumia toilet paper au kuchamba huku unashika mavi hapana asee"Hivi wale wanaotumia 'tishu' tu kujisafisha chooni, huwa wanashusha mizigo hii hii tunayoishusha sisi au wenzetu mizigo yao inakuwa dry, odourless and sophisticated?"
View attachment 2383755
origin ya uislamu ni ipi?Mecca ni wapi?origin ya ukristo ni wapi? ngoja niacha kubishana ..kwaheriUislam ulikataza tamaduni za kiarabu, uislam siyo utamaduni wa kiarabu
Use water coz ur a.s.s is worth itKweli toilet paper haisafishi bora uwe na wipes hapo sawa.
This coming from a man that plays with women' mitaro 🤣🤣🤣🤣🤣Mimi kwangu ni mwendo wa kutumia shattaf hizi mambo za kutumia toilet paper au kuchamba huku unashika mavi hapana asee
Kipato mkuu... mtu ashazoea whitedent ya 1,500 halafu umuambie mambo ya sensodyine ya 30,000 ni ngumu.Watu wengi hata kuoga hawajui ukumbuke na kuswaki ndio kabisa, mtu anaoga hasafishi tundu za pua, katikati ya vidole vya miguu hagusi, pumbu hasafishi, katikati ya mapaja ndio anapapita kama kituo cha polisi, hapo anaoga dakika moja ashatoka, ataacha kunuka huyo? Haya kuswaki unakuta mtu anapiga dry yaani kinywa hagusi ulimi, kuta ya juu na chini halafu hasuuzi kinywa na maji na mswaki ili kuondoa shombo ya dawa ya meno unakuta unaongea na mtu ananuka whitedent muda wote au micolgate, hayuko current kujua kuna dawa nyingine kama dabuur au closeup au sensodyne, hajui shaver hata za buku anyoe nywele binafsi, hajui walau kumuona dentist walau asafishe kinywa mara mbili kwa mwaka, halafu ukikuta mtu anajifanya kutoa hoja unamcheki unaona huyu basi tu wengine wasomi watu wazima kabisa .
Ukiona makatazo,Haram ndani ya Qur'an jua walikua wakikatazwa waarabu..yaani utamaduni ulikua kinyume na Qur'an,origin ya uislam ni Qur'anorigin ya uislamu ni ipi?Mecca ni wapi?origin ya ukristo ni wapi? ngoja niacha kubishana ..kwaheri
The pleasure during anal sex is stronger than the shit smell 🤣🤣🤣This coming from a man that plays with women' mitaro 🤣🤣🤣🤣🤣