Kipanya: Msitumie akili nyingi kutafsiri katuni zangu

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Mtangazaji wa kituo cha clouds fm na mchoraji nguli wa vibonzo nchini Ibrahimu Masoid maarufu Kama Masoid Kipanya..amesema kuwa watu wamekuwa wakitumia nguvu na akili nyingi kutafsri katuni zake jambo ambalo limekuwa likiwatoa nje ya uhalisia wa maana ya vibonzo hivyo ...na wengi wao kujikuta wakimporomoshea matusi, huku wakimtisha .....

Amesema ni akli ndogo Tu inayoweza kutumika kutafsri katuni hzo na zkaeleweka...kipanya alisema hayo wakat akiwa kwenye kpind cha power breakfast...katkat ya wiki hii. alippkua akikelezea issue ya makinikia
 
Weka iyo link au picha ya katuni.
 
View attachment 525618

Moja ya katuni za kipanya zilizosumbua akli za watu kutafsr
Wanaomini katuni wengi ni mabogus. Katuni ni sawa na kusema " I am responsible for what i wrote and not for what you understood from my writing "

- Na kwa vile tu anachochora mchoraji anakielewa mwenyewe, basi wanajichukulia majiniasi sana tena wasiokosea hata siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…