Kipanya: Msitumie akili nyingi kutafsiri katuni zangu

Kipanya: Msitumie akili nyingi kutafsiri katuni zangu

Wakuu endeleeni kudondosha katuni za Kipanya maana hutufikirisha sana
 
Huwa namuolewa akikichora kichwa cha rais flan iv kama kibuyu
 
View attachment 525618

Moja ya katuni za kipanya zilizosumbua akli za watu kutafsr
Hii Katuni maana yake ni simple sana.
Hao Mbwa ni Marais wa awamu tatu. Wanalinda hiyo mikataba isifunuliwe na mtu yeyote ili kuwa wazi kwa Watanzania wote.
Hizo shingoni ni symbol za kuonyesha Tanzania. Yaani Marais wa Tanzania.
 
Hata wao wameshindwa kuifungua. Wapo kama mazuzu hawajui cha kufanya na hata hawana uhakika kama imo mule ndani au copies zote zilishatolewa kupelekwa kusikojulikana
Hii pia inaweza kuwa tafsiri yake. Lakini kulingana na uhalisia uliopo. Sidhani kama hawa Marais watatu hawajui mkataba upo wapi. Au hawajawahi kuuona.
Kikubwa hapo wanaulinda Usiwe wazi kwa Watanzania.
 
Hii pia inaweza kuwa tafsiri yake. Lakini kulingana na uhalisia uliopo. Sidhani kama hawa Marais watatu hawajui mkataba upo wapi. Au hawajawahi kuuona.
Kikubwa hapo wanaulinda Usiwe wazi kwa Watanzania.
Mikataba imepelekwa mbele yao. Ina ka kamba kadogo tu wala hakuna kufuli lolote. Body language ya Mbwa wale ni ya kushindwa - no clue whatsover on what to do. Unalindaje kwa pozi hili hapa
FB_IMG_1497692395514.jpg
 
Hebu tujaribu hiiia.... hao dogs.ni mihimili mitatu ya serikali. ..
 
KP Yuko sahihi, katuni zake ni rahsi kuzielewa ila wanaotumia akili nying kuzielewa kana kwamba wanaandaa financial statement ndo wanachochora.
Ili uweze kuelewa haraka katuni za kipanya inabid uwe mfuatiliaj wa matukio ya kila siku.
Mimi binafs nazpenda katun za kipanya na nikinunua gazet cha kwanza naangalia katuni kipanya
 
Back
Top Bottom