Kipanya: Msitumie akili nyingi kutafsiri katuni zangu

Kipanya: Msitumie akili nyingi kutafsiri katuni zangu

kpjune192017.jpg
 
mpaka sasa nime note tafsiri ya katuni hii ni 2065400....

tuendeleeni na tafsiri
 
Hii Katuni maana yake ni simple sana.
Hao Mbwa ni Marais wa awamu tatu. Wanalinda hiyo mikataba isifunuliwe na mtu yeyote ili kuwa wazi kwa Watanzania wote.
Hizo shingoni ni symbol za kuonyesha Tanzania. Yaani Marais wa Tanzania.
Good!! Niliiona tu hiyo cartoon sikufikiri Mara mbili mbili!
 
Ha ha ha Hao mbwa watatu ni mihimili mitatu ya nchi Yaan bunge, dola, na mahakama, kuna boxci la mikataba, ambayo ili kuilinda au kuifumua inaitaji mihimili yote ishirikiane, kwa mikataba inahusiano Mkubwa na mihimili mitatu yote kwa ukalibu
 
Back
Top Bottom