Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good!! Niliiona tu hiyo cartoon sikufikiri Mara mbili mbili!Hii Katuni maana yake ni simple sana.
Hao Mbwa ni Marais wa awamu tatu. Wanalinda hiyo mikataba isifunuliwe na mtu yeyote ili kuwa wazi kwa Watanzania wote.
Hizo shingoni ni symbol za kuonyesha Tanzania. Yaani Marais wa Tanzania.
Nadhani hii ni tafsiri nzuri zaidiTunatafuta aliyeturoga ilihali mchawi tunamlinda na tumejitia upofu na hatutaki hata kuona.