Kipara kimeanza kuota

Rudisha kadi ya ccm nywele zitarudi hiyo ni Mwenyezi Mungu anakuonesha maajabu
 
Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.

Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.

Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.

Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara.

Please help.
Muulize jamaa wa kuitwa Kipara kipya akupe mbinu.
 
Nadhani hakuna dawa ya upara na kama ingekuwepo wale wadosi wenye vipara na mapesa wala tusingewaona navyo.Hapo cha msingi ni dongo tu mwenyewe nina upara siku hizi kila wiki ni kunyoa na kadri siku zinavyosidi kusonga nacho kinakuja kwa kasi ina maana huko mbele nitanyoa baada ya siku mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…