MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Achana na CCM, kitaisha chote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namna ya kutumia tafadhaliTumia mafuta ya mnyonyo mkuu, nilikuwa na kipara now nywele zimejaa
Shauri lako mkuu, CCM ishaanza kukufubaza!Si kweli mkuu, hata Chadema wanavyo na ACT na CUF.
izi kucha zako?Karibu nikupatie black castor oil...inasaidia sanaView attachment 1704643
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]izi kucha zako?
DuhUkiwa na hela hakuna shida. Kijana mdogo Idriss Sultani ana kipara na madem wanavutiwa nacho
Unapatikana wapi mkuu?Karibu nikupatie black castor oil...inasaidia sanaView attachment 1704643
Kipara bila hela ni sawasawa na kovuKipara hafu usiwe na hela aisee..
Hizi kucha zinaporomosha bidhaaizi kucha zako?
Muulize jamaa wa kuitwa Kipara kipya akupe mbinu.Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.
Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.
Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.
Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara.
Please help.
Acha kumtia wazimu mkuu kipara kabisa kiote nywele hahahahahTumia mafuta ya mnyonyo mkuu, nilikuwa na kipara now nywele zimejaa