Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una Umri gani?Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.
Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.
Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.
Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara.
Please help.
Mhhh,Tumia mafuta ya mnyonyo mkuu, nilikuwa na kipara now nywele zimejaa
Upo range gani ya umriSikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.
Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.
Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.
Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara.
Please help.
Hata mimi zinanukia kukatika je hayo mafuta dukani yanaitwaje au nayapataje?Tumia mafuta ya mnyonyo mkuu, nilikuwa na kipara now nywele zimejaa
Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.
Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.
Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.
Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara.
Please help.
Na aloevera ingia you tube.Tumia mafuta ya mnyonyo mkuu, nilikuwa na kipara now nywele zimejaa
Tumia mafuta ya mnyonyo mkuu, nilikuwa na kipara now nywele zimejaa
Achia mzuzu alafu kichwani piga paraaa[emoji1]
Pia Kuna dawa zakukuza nywele zinaitwa Wai Runi
Wajuvi wa mambo wanasema, "kipara bila pesa ni kovu".Kipara hafu usiwe na hela aisee..