Kipara kimeanza kuota

Kipara kimeanza kuota

Shida iko wapi kwani umri wako umesimama? Ukubwa huo, au mpaka wale wachini yako waje na wake zao kuomba ushauri wa ndoa?[emoji23][emoji23] Jikubali mkuu.
 
Upara nimepata na mid 20 huko nipo mid 30 ni mwendo wa dongo salon ukiacha week tu ni noma...
 
Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.

Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.

Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.

Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara.

Please help.
Una Umri gani?
 
Kuna dogo hapa ana 27 years old alikua anajiona bado mtoto sasa ana kipara kinaota kwa kasi na haja_accomplish anything yani anapata stress balaa maana hata wakubwa zake tukiwa nae sehemu basi heshima zote anachukua yeye.

Ni swala la muda tu anaweza chukua maamuzi magumu maana kachanganyikiwa kabisa.
 
Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.

Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.

Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.

Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara.

Please help.
Upo range gani ya umri
 
Adult hood✊✊✊📣📣📣
Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.

Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.

Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.

Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara.

Please help.
 
Wala usihangaike nacho sana mkuu jikubali tu, afu kuna wadada tunapenda mkaka mwenye upara aisee wako vizuri na ni magentlemen. 😍
 
Achia mzuzu alafu kichwani piga paraaa😄

Pia Kuna dawa zakukuza nywele zinaitwa Wai Runi
 
Back
Top Bottom