Kipara kimeanza kuota

Kipara kimeanza kuota

I
Kiache kikue kizoeleke. Utakuwa huru sana. Umeshafikiri ni nani kwenye huu ulimwengu anakufanya usiwe huru na mwonekano wako? Nani? Kwann? Utapoteza lipi kwa huyo mtu au watu ukiwa na mwonekano halisi?
Inategemea shape ya kichwa, kichwa kama tofali unategemea nini
 
Kuna vitu kidogo vinatupita pembeni kuvielewa,nina mdogo wangu aged 33 anamiliki Fuso tipper tatu,anazo Coaster zinamkusanyia hela ila still dogo anatoka mvi.

Wakati mwengine hivi vitu vinatokana na kuwaza sana mambo ya maendeleo kuwa na kipara au mvi siyo shida au njaa,hamjiulizi leo akienda kupimwa pressure Bahakhresa atakutwa nayo na mawazo ya njaa hana ila akipimwa maskini yule anayetegemea atoke ndo familia ile hana,ila mleta mada sijui upande wako kama unawaza jinsi ya kuthibiti hela au unawaza kupata hela ya kula?
 
Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.

Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.

Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.

Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara.

Please help.
Kufa kumeoaribia mkuu,,, Doh pole sana
 
Aisee safi sana.
 
Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.

Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.

Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.

Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara.

Please help.
Sikuhizi kuna procedure watu wanafanya hili tatizo linaisha
Pale victoria wale jamaa wanajiita Cloud 9 wanamaliza hili tatizo, ila sifahamu gharama zao
 
Mkuu karibu kwenye chama letu la kuonekana wazee.Mi nilismuwa kukubaliana na hali tu.Sema uzuri ni beard gentlemen so upara umekuwa kama swaga kwenye ndevu.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Yaani ukitaka kuuweza upara we fuga ndevu tu unashine fresh tu
Baba ukiniona so mchezo siku moja nipo Zanzibar pale forodhani nina speaker yangu ya JBL nakula sweat raggae.Mzungu mmoja akanifuata ananiuliza we ni black America nikamjibu ndio.Akasema kwa ndevu zako zilivo na unaonekana tu.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.

Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.

Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.

Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara.

Please help.
Kuna vitu haviko sawa kwenye mwili wako kupelekea mfumo wa ndani hasa moyo kusogeza umri wako mbele, inawezekana sana kazi unazofanya zina stress moyo wako na kuufanyisha kazi kubwa kuliko uwezo wa muda huo so hata ukipaka mafuta ya ambayo wengine yanawakuzia nywele wala wewe hazitaota na hata ukipandikiza bado itakuwa kwa muda tu then unarudi kulekule.
 
Sikuhizi kuna procedure watu wanafanya hili tatizo linaisha
Pale victoria wale jamaa wanajiita Cloud 9 wanamaliza hili tatizo, ila sifahamu gharama zao
Hivi kumbe kuwa na kipara ni tatizo sikuwahi kujuwa.
 
Saga vitunguu swaumu changanya na asali afu zinyoe nywele zote kichwani pakaa kwa muda siku 14 baada ya hapo zitaanza kuota tena zenye afya nyeusi
images-4.jpg
images-3.jpg
 
mkuu njoo nikuuzie mafuta ya kurudisha nywele na kuzuia kukatika

nicheki 0765494548
IMG-20200520-WA0000.jpeg
IMG-20200520-WA0005.jpeg
 
Back
Top Bottom