Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
I
Inategemea shape ya kichwa, kichwa kama tofali unategemea niniKiache kikue kizoeleke. Utakuwa huru sana. Umeshafikiri ni nani kwenye huu ulimwengu anakufanya usiwe huru na mwonekano wako? Nani? Kwann? Utapoteza lipi kwa huyo mtu au watu ukiwa na mwonekano halisi?