Kipara utotoni

Kipara utotoni

Nassy Muller

Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
85
Reaction score
20
Ndugu Yang Anakipara Angali ni bado kijana..hivyo basi anauliziaa je Kuna dawa zozote za asili au mitishamba itayomsaidiaa coz hakipend katika ujana wake pia anapenda Timberland lkn hana vp anaeza saidikaa
 
Kipara ni baraka, busara, hekima, na utajiri kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Ni kwel lkn Kwa Saiv anahitaj kuwa na Nywele zake zotee kama vijana wenginee kama kuna dawa au Vyakula tuweze kumshaurii ili nywele zake ziotee
 
Ni kwel lkn Kwa Saiv anahitaj kuwa na Nywele zake zotee kama vijana wenginee kama kuna dawa au Vyakula tuweze kumshaurii ili nywele zake ziotee
Nilianza kupata kipara nikiwa na miaka 25.
 
Ni kwel lkn Kwa Saiv anahitaj kuwa na Nywele zake zotee kama vijana wenginee kama kuna dawa au Vyakula tuweze kumshaurii ili nywele zake ziotee
ili anyoe kijogoo? mwambie aache ujinga anyoe km kina mkapa hiyo minyoo ya kina DIAMOND waachie wao.
unakuta kijana mdogo kanyoa kiduku huku kakisokota hapohaoo anaingia darasani /kanisani / msikitini utazani yupo disco.
 
Kuna mzungu walikuwa wanamuonyesha kwenye mitandao eti alitumia dawa ili nywele ziote kwenye kipara chake matokeo yake akaota nyweli kichwa chote hadi usoni! ushauri wangu asitumie dawa yoyote, ajifunze kumshukuru Mungu kwa kila jambo
 
Back
Top Bottom