Nassy Muller
Member
- Sep 30, 2016
- 85
- 20
Ndugu Yang Anakipara Angali ni bado kijana..hivyo basi anauliziaa je Kuna dawa zozote za asili au mitishamba itayomsaidiaa coz hakipend katika ujana wake pia anapenda Timberland lkn hana vp anaeza saidikaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwel lkn Kwa Saiv anahitaj kuwa na Nywele zake zotee kama vijana wenginee kama kuna dawa au Vyakula tuweze kumshaurii ili nywele zake zioteeKipara ni baraka, busara, hekima, na utajiri kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Nilianza kupata kipara nikiwa na miaka 25.Ni kwel lkn Kwa Saiv anahitaj kuwa na Nywele zake zotee kama vijana wenginee kama kuna dawa au Vyakula tuweze kumshaurii ili nywele zake ziotee
ili anyoe kijogoo? mwambie aache ujinga anyoe km kina mkapa hiyo minyoo ya kina DIAMOND waachie wao.Ni kwel lkn Kwa Saiv anahitaj kuwa na Nywele zake zotee kama vijana wenginee kama kuna dawa au Vyakula tuweze kumshaurii ili nywele zake ziotee
Yeye bado hajafikisha ata iyoo miakaNilianza kupata kipara nikiwa na miaka 25.
Daaahhh, me nimekuzidi kidogo me kilianza kuonekana nikiwa 23, kwa sasa mmmhhh.....Nilianza kupata kipara nikiwa na miaka 25.