Kipara Vs Low Cut, Kiduku, Afro hadi rasta

Vicin

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2017
Posts
676
Reaction score
295
Habari wana jamvi.

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima tulio nao.

Twende kwenye mada yetu ya leo inayohusu staili ya nywele za kichwani. Kuna baadhi wanapenda vipara wanadai unakuwa sexy, wapo wanaopenda nywele wanadai zinaongeza mwonekano.

Kwa warembo wote na watanshati humu jukwaani hebu tupia hapa staili yako nawe, kama hutojali toa na sababu ya kuipenda tuendelee kuelimishana kwa utanashati na urembo.

N.B
Kama unajijua sio mwanaume mtanashati ama mwanamke mrembo, pita ivi kapimwe mkojo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Last Time Napiga Para Nipo Primary.

Today, Nimeamka Na Mzuka Wa Kitu Sanaa. Ila Nikikiangalia Hiki Kichwa [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Skuizi napiga fade aka panki
Au naweza kupiga taper fade
 
Daah Mimi nikipunguza nywele hivi siezi pata usingizi Chaliangu wallah
 
Huu ndo muonekano wangu wa sasa. Napenda sana dreadlocks muhimu kutunza tu.

Ova.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…