Vicin
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 676
- 295
Habari wana jamvi.
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima tulio nao.
Twende kwenye mada yetu ya leo inayohusu staili ya nywele za kichwani. Kuna baadhi wanapenda vipara wanadai unakuwa sexy, wapo wanaopenda nywele wanadai zinaongeza mwonekano.
Kwa warembo wote na watanshati humu jukwaani hebu tupia hapa staili yako nawe, kama hutojali toa na sababu ya kuipenda tuendelee kuelimishana kwa utanashati na urembo.
N.B
Kama unajijua sio mwanaume mtanashati ama mwanamke mrembo, pita ivi kapimwe mkojo.
Sent using Jamii Forums mobile app