Kipara Vs Low Cut, Kiduku, Afro hadi rasta

Kipara Vs Low Cut, Kiduku, Afro hadi rasta

Vicin

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2017
Posts
676
Reaction score
295
Habari wana jamvi.

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima tulio nao.

Twende kwenye mada yetu ya leo inayohusu staili ya nywele za kichwani. Kuna baadhi wanapenda vipara wanadai unakuwa sexy, wapo wanaopenda nywele wanadai zinaongeza mwonekano.

Kwa warembo wote na watanshati humu jukwaani hebu tupia hapa staili yako nawe, kama hutojali toa na sababu ya kuipenda tuendelee kuelimishana kwa utanashati na urembo.

N.B
Kama unajijua sio mwanaume mtanashati ama mwanamke mrembo, pita ivi kapimwe mkojo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina miaka 15 nanyoa hivi tu wakati wote.
ec97fe3d9f87f38ce8947f6881286fac--black-men-beards-handsome-black-men.jpg


commonbald.jpg



5e83f46cd2d974ec69a5aa922bdbfdcc.jpg
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Last Time Napiga Para Nipo Primary.

Today, Nimeamka Na Mzuka Wa Kitu Sanaa. Ila Nikikiangalia Hiki Kichwa [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Daah Mimi nikipunguza nywele hivi siezi pata usingizi Chaliangu wallah
 
Back
Top Bottom