Kipato Cha Diamond Platinumz, Je Wajua Analipwa Ngapi Kufanya Shoo Moja?!?


Kuna tatizo ambalo bado hujaelewa...shoo ikisimamiwa na promoter lazima wahisani wataingilia kati. Hawawezi kuacha kutangaza biashara zao. Kama wewe ni shabiki wa kuenda kuangalia shoo utagundua kuwa kuna wadhamini wamejitokeza, iwe imesmamiwa na promoter au la. So pesa hapo zipo.

Kuhusu wasanii wengi hilo sijaliongea...naongea kuhusu Diamond pekee hapa.
Halafu tena chanzo cha takwimu hii yatoka kutoka Kenya. Inamaana kuwa kila akitaka kupiga shoo lazima apewe hicho kiasi cha pesa. Kiingio kumwona Platinumz Kenya ni tkrbn Tsh. 20,000 mtu wa kawaida na 30,000 VIP. Hapo tayari ni excess.
Bongo sababu ni nchi ya nyumbani labda hapo kumkodisha itakuwa gharama ya chini....
....wee kwani huoni huyu staa ana kipato cha juu? Kama tu video ya numbr one remix ilikuwa milioni 40, shoo moja ni nini kwake!
 

Usititishwe na gharama za wasanii, ni waongo sana, music na bongo movie, utakuta verossa anakuambia amenunua million 25 wakati million 12 unapata, ni aina yao ya maisha wamejichukulia, eti mtu ameenda Dubai shopping ametumia dollar 40,000 wakati hiyo pesa unapata nguo nguo container moja, dollar 40,000 nguo zinakuja kwenye bag??!. Mimi hawanisumbui sababu mwenyewe mfanya biashara na natembea sana.
 
Hizo pesa angemaliziaa nyumba zake akaachana na upangaji ingekua amefanyaa la maana sanaaa
 


Kuna ule msemo unaosema 'Mgala muue lakini haki yake mpe'. Wasanii wakibongo wanajitahidi sana so kama wanachukiwa pia zile bidii wanazozifanya hata kama ni kidogo wapewe pongezi
 
tupo kwenye industry na tunajua?
HAKUNA MSANII ANAELIPWA > $10000 hapa TZ..
 
tupo kwenye industry na tunajua?
HAKUNA MSANII ANAELIPWA > $10000 hapa TZ..

Poa mtaendelea kuwaza kuwa Diamond anauza unga...
Lakini nyinyi mkipiga domo, wenzenu wanacheka wakienda kuchukua mihela benki.
 

Hatumkandamizi ila na ww uache kudanganya mchana kweupe kisema kaingiza mkoko mpya kumbe used ya dar es salaam ww mkoko mpya halafu namba B?
 
Hatumkandamizi ila na ww uache kudanganya mchana kweupe kisema kaingiza mkoko mpya kumbe used ya dar es salaam ww mkoko mpya halafu namba B?

Huo uzi uliodai Diamond ana mkoko mpya mwanzilishi si mimi na hio habari sijaiskia popote bali humu ndani so siisupport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…