Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 390
- 68
- Thread starter
- #21
Hapa tunaongelea show zinAzosimamiwa na mapromotor, hayana udhamini wa Vodacom wala Airtel au chochote, na promota anagharamia nauri na madancer wake, hotel na chakula, alipie ukumbi, wasimamizi mabaunsa nae apate faida, itatoka wapi? Pia show show ya mwimbaji mmoja hainogi inabidi uwachanganye ma artists kama watatu au wanne, ndiyo inakuwa kivutio nao walipwe! Hao waongo wanalipwa ml 10 au 15 tu!
Kuna tatizo ambalo bado hujaelewa...shoo ikisimamiwa na promoter lazima wahisani wataingilia kati. Hawawezi kuacha kutangaza biashara zao. Kama wewe ni shabiki wa kuenda kuangalia shoo utagundua kuwa kuna wadhamini wamejitokeza, iwe imesmamiwa na promoter au la. So pesa hapo zipo.
Kuhusu wasanii wengi hilo sijaliongea...naongea kuhusu Diamond pekee hapa.
Halafu tena chanzo cha takwimu hii yatoka kutoka Kenya. Inamaana kuwa kila akitaka kupiga shoo lazima apewe hicho kiasi cha pesa. Kiingio kumwona Platinumz Kenya ni tkrbn Tsh. 20,000 mtu wa kawaida na 30,000 VIP. Hapo tayari ni excess.
Bongo sababu ni nchi ya nyumbani labda hapo kumkodisha itakuwa gharama ya chini....
....wee kwani huoni huyu staa ana kipato cha juu? Kama tu video ya numbr one remix ilikuwa milioni 40, shoo moja ni nini kwake!